Im not platnumz' fan.
Lakini what happens now, isnt a new thing from watz.
We are like that.
Ukifanikiwa, watakuchukia tu.
Watajidai kuna sababu, lakini hakuna.
Hii ni sababu ya kwa nn wasanii wetu wanang'aa mmoja mmoja at a time.
We so blinded by jealousy that we cant see that we are killing everything we had!
Principle ya Watanzania ni kwamba ukipanda juu lazma wakushusheYale yale ya Mwana FA na Lady jay dee.Bongo raha sana,ushabiku huu naufananisha ule wa siasa mkoa wa Mara,Vijana wakiamka tu kua tunataka Sisiemu utapenda siku wakiamkia Chadema mbona utashangaa mwenyewe.Mi Napenda muziki wowote wa msanii yeyote yule ulio vizuri,habari ya maisha ya mtu its out of my bussiness.Nawengi tunashabikia muziki kama mpira na vyama vya siasa vile.
Nakumbuka enzi za Mr Nice baada ya kushuka kimuziki hao hao mashabiki wa muziki wake ndo wakawa wakaanga sumu.
Hayati Kanumba nae wakamponda et hajui lugha ya malkia duh.
Hii ndo Tanzania ktk burudan..kuna watu hawalali wala hawali kisa anamfuatilia msanii fulani.
Mi nahisi anayoyafanya Ney
na kuyaimba kwenye nyimbo zake yawe ya Daimond bila shaka angejua Maiti
kitambo sana.
kumbe anabebwa na wema sio mziki wake?!!
cheap publcity!!!
asante kiba umenitoa kimasomaso roho iliniuma sana dimond alivyokutusi eti yupo tayari kukusaidia nafikiri amejionea kua wewe inatakiwa umsaidie maana tayari kwisha habari yake
Mbona ameongea ukweli mtupu
jamani mwacheni Daimond afanye yake na kiba afanye yake.mbona mnataka mmoja wapo ashuke.mie am happy kuona Daimond na kiba wote wapo juu.ntasikitika mmoja wapo akishuka.
Nimerudia kusoma hii post mara 3,lakin sijaielewa
umeona afu watu wenyewe wabongooo
watoto waumavi maviniii
wanakushusha na kukupandisha on the spot
diamond aache dharau na mbwembwe zake
Diamond ni msanii mwenye kipaji thabiti anastahili Sifa kwa hilo .
Tatizo lake amejisahau kuwa umaarufu alionao ndani na nje ya nchi unatokana na watanzania tena wengne wa kipato cha chini.
Style yake ya maisha imebadilika sana tangu amepata umaarufu
Anasa za wanawake anaowabadilisha kila siku na kujiita majina (km sukari ya warembo). Juzi tu amehonga gari ya kifahari kwa kimada wake.
Amefikia hata kuwadharau wale aliowakuta ktk mziki wengine walisaidia kumtoa, Bob Juniour, Ally Kiba. Kwa ufupi ni aina ya watu wasio na shukrani.
Tangu ameupata umaarufu na fedha akasahau kuwa pesa hiyo nying imetoka kwa watanzania wa maisha ya kawaida, Maneno ya kejeli yanaanza mara "sifanyi shoo ya Mil 2"
Mara kupanda ma private jet, kujipa vyeo ving, kuendekeza bifu nk.
HE HAS OUTSTANDING TALENT YES, BUY HE HAS 2B A BIT HUMBLE.
Kwanza anaonekana anadharau watanzania wote maskini.
Wacha wamzomee
Umeona promo aliyopewa kiba hhhhhhaaaaaa
Heri mpambano ungeisha Sare kama Yanga na Simba maana hii thread ilianza na mbwembwe nyingi.Naona mwisho watu wamekubali kilichotokea,Vipi TI kaomba kolabo kwa Diamond?
nimeshangaa sana Dina yaani sasa hivi TZ vitu vinaenda kinyumenyume wameshangilia kama walivyomshangilia Binti Mtemvu ! yaani wabovu ndio wanashangiliwa now days aroooo!
booooooooooooo
Amemdharau nani mbona tunamtaftia sababu tu Dimond kama tunamvhukia tukiri tunamchukia tu