Serengeti fiesta 2014 special thread

...................................... Fitina ya clouds leo ilikua kwa davido na times fm. Jaman leo ndo nimeamin ma-don wa mjini wanajua fitina...............................................

Umeeleza vema sana, ngoja nirudi nikakupe like, sasa naomba utudadavulie kidogo kuhusu fitna za ma don wa town! Am interested kujua walau kidogo! Ahsante!
 

!
!
mkuu umetisha mbaya.
 

Poor comment of the day
 
Jaslaws at his his/her best!
 
Last edited by a moderator:

...mh ?! Unatatizo sio bure,assumption zako ndo unawalazimisha wote waamini hivyo hata kama hawa mkubali huyo star wako...
 
mkuu labda ni usingizi ndio maana unaandika hivi au labda mi ndo nausingizi ndo maana nasoma hivi.. Nway ntasoma tena kukicha labda ntaelewa.. Asante sana MzuriWewe..

!
!
mkuu mie nimerudia mara tatu hivi kusoma........teh teh teh smart phone hizi loh
 
Acha uongo
Diamond ni jembe ktk muziki huu kizazi kipya. Na ninavyomjua huyu jamaa atatoa kitu kingine kikali muda si mrefu kuwanyong'oshe wote waliomzomea. Jamaa nyimbo zake zinaburudisha watu wa rika zote, mashabiki wake na hata wasio mashabiki wake!
 
asante kiba umenitoa kimasomaso roho iliniuma sana dimond alivyokutusi eti yupo tayari kukusaidia nafikiri amejionea kua wewe inatakiwa umsaidie maana tayari kwisha habari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…