mi nimekua asa hv ila nlikua naenda sana
hulali nakwambia mwanzo mwengaaaaa!!
Kama nani vile anachukiwaa
Kama unataka mtoto mwenye akili zaa na niki wa pili lol
Weusi nawapenda sana
Namtaka huyo Diamond
mhhhhh zaa na lord eyez basi. nae si ni mweusi
Weusi hakuna kitu, hapa namsubiri diamond nilale
Namtaka huyo Diamond
Ili tuondoe utata huu kwa vile leo wanakutana steji moja mliopo humo na wale wanaoangalia Live clouds Tv tuangalie nani atamfunika mwenzake...
1.atakayepata shangwe nyingi
2. atakayeperfom vizuri
3. atakayefunika kwa mavazi
4. Mengineyo