Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,323
Samahani, we ni me au ke?
Hahahaaaa
Samahani, we ni me au ke?
Samahani, we ni me au ke?
Kwenu wapi ambapo diamond mfalme?au ww ni wa tandale?Toka hii fiesta ianze
sijaona mtu alieperfom kitu ,, Tunamsubiri mfalme wetu diamond
tulale
Tuliza mzuka atakuja tuuuu
Watu hawachoki kusimama aiseee kesho wanalala hoi hawa watuu
Haendi mtu kulala kabla Mtoto wa Bi Sandraaaaa kufanya mambo ......
Kwan lzm wamalize album nzima?
mmmh!! hii show inaisha lini hivi!!??
Hayakuhusu, Tanzania hakunaga zaid ya DIAMOND. Wengine mashudu tu
Kwan lzm wamalize album nzima?
Ndio hapo mi nishachokaaaa,na nipo home nje ningekua hapo nimesimamaaaaaaa
Where were you my missstrong???
mmmh!! hii show inaisha lini hivi!!??