Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Hawa waimba hip hop wanasumbua tu kwa kelele halafu hawa ishi
Hhaaaaaaaaaaaaaaaaa umeona raba kavaa tofauti
Hawa waimba hip hop wanasumbua tu kwa kelele halafu hawa ishi
maskini hata india hajui kuandika
I hate this neema..
Siweziii kabisaa aisee watu wamebanana mno, tunatofautiana bora niangalie hivi kwa Tv
Man of the show so far:MwanaFa
Hebu leteni Kiba hapo tukapumzike sie.
Ova
Hhaaaaaaaaaaaaaaaaa umeona raba kavaa tofauti
duu Godwin Gondwe kahamia clouds?
Ney anauliza anaitwa nani,watu wanajibu neemaaaa
Diamond akitaka auwe kabisa aingie steji kavaa DERA atakua kamaliza kila kitu.[/QUO
😀😀😀😀😀 wakimshika kalio je?