Halafu huwa hajui kukatika kiuno kigumu wamemwambie kwenda
kiba aliwai kutukodi tukamzomee diamond maisha club alitupa buku 30 na bia tano kila kichwa
Tusiopenda vurugu tushaanza kujisogeza pembeni tayari kwa kusepa manake kuna dalili zote za kuzuka vurugu hapa... jinsi ninavyowasikia watu hapa... ni kama wamejiandaa kufanya fujo akiingia Diamond... kama hujazuka mtiti kati ya haters wa Diamond na mashabiki wake, basi sio mimi!
hapo uwanjani team kiba na team diamond zitawaka leoNdoo nakuambiaa hiviii chuki haitaisha na uchonganishi nahisi tumerithiiii
watu wengine bhana,hovyo kabisa
Kiruuuu chaaa oteee lanye
nimeamin kuwa clouds inataka kumshusha diamond. haiwezekani kuweka mic kwenye kundi linalomuunga mkono kiba ili sauti zisikike kwa nguvu. kwanini nasema hvyo ? you can see baada ya kupanda linah wakaona watu bado wanazomea na wakaamua kuzma hizo mics ili isionekane kuwa linah anazomewa. this is realy despicable !
hapo uwanjani team kiba na team diamond zitawaka leo
Tusiopenda vurugu tushaanza kujisogeza pembeni tayari kwa kusepa manake kuna dalili zote za kuzuka vurugu hapa... jinsi ninavyowasikia watu hapa... ni kama wamejiandaa kufanya fujo akiingia Diamond... kama hujazuka mtiti kati ya haters wa Diamond na mashabiki wake, basi sio mimi!
hapo uwanjani team kiba na team diamond zitawaka leo
nimeamin kuwa clouds inataka kumshusha diamond. haiwezekani kuweka mic kwenye kundi linalomuunga mkono kiba ili sauti zisikike kwa nguvu. kwanini nasema hvyo ? you can see baada ya kupanda linah wakaona watu bado wanazomea na wakaamua kuzma hizo mics ili isionekane kuwa linah anazomewa. this is realy despicable !
Huyo anaeimba ni Lord eyes auu