Sidhani kama kuna msanii kalipwa milioni hapa
Ni upuuzi kwako. Unafikiri T.I akija bongo kupiga show labda pale maisha club unafikiri ni wangapi wataenda? Na promota atatoza kiingilio kiasi gani ili arudishe gharama na kupata faida yake?
Acheni vijana wenye vipato vidogo wapate burudani. We nenda sehemu zenye hadhi zako ndg.
Wabongo sisi wanafiki sana mtu anayefanya vizuri ndiyo anachukiwa , Wivu tu acheni hizo
Nashangaa sijui kwanini wanashindwa hata kuandaa CD yenye beat tuu!Izo drums pale nyuma za t.I au..?bora waje alirekod live akaipiga km.playbak bt angalau....fiesta msanii alazimishwe kupga live
geniveros miss strong mko wapi leo jamani???Kiba akipaform nitafurahi na nani???
umeona eeh,halafu hawa wazungu wanafikiri Africa ni nchi,mwe wamemkazania ebola ebola,acha awatukane na kawaambia atawablock,ila ana matusiTI mwenyewe yupo hotelini anafanya kazi kupost picha instagram na kutukana wazungu wanaombwambia amekuja huku kuchukua ebola na kupeleka america
Mpaka sasa kura yangu ipo lwa Young Killer na Mr Blue.....
leo mtakubali T.i hadi aombe kolabo halafu Dai anakataa
Yamoto band hizo nguo sio kabisa
Yamoto band hizo nguo sio kabisa
Like seriously am down.....hii.inamaanisha even diamond atapga cd huu ni wendawazimu....ruge acha ujinga bwanafor sure am dissapointed, tamasha kubwa km hili na wasanii wakubwa jamani alafu mambo km haya jamani!! ni aibu kwakweli