Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Weusi wametisha sana
Wala hawachokiii wenyewe wanaimba taratibu na kucheza taratibuu
Weusi wametisha sana
Wale wanao rank show,badilishen list haraka iwezekanavyo
hivi hawawekagi viti....kusimama masaa yote haya si mtu anaweza kufaint
Tuliza mzuka atakuja tuuuu
Watu hawachoki kusimama aiseee kesho wanalala hoi hawa watuu
Wakitoka weusi Dimonda anapanda
Jamaaaan domo anapanda saa ngapi nataka nimzomee na mm
Nijibu basi
Hehe ungechuchumaa...
Huyo diomonda ndio msanii gani tena????
weusiii basiiii tokeeenii tunamtaka dada daimond
Wala hawachokiii wenyewe wanaimba taratibu na kucheza taratibuu
Kwangu ni Masaki . DIAMOND NDIO ICON WA MUZIKI KWA SASA