Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

mimi nina stress za kunyimwa internet toka sita usiku mpaka sasa na network provider wangu TiGO
 
inawezekana wewe ndiyo Ayman Al Zawahiri ... second in command wa RIP Bin Laden

your brain is full of hate and you smell satanic acts
Ahaha hahha niku hate wewe kwa lipi? nachosema tusilazimishane.. wewe na mchungaji wako jiombeeni wenyewe, Mungu atawasaidia lakini sio kuombea watu wengne huo ni uchawi na shiriki ndivyo nilivyofundishwa. Nikitaka kuomba naomba mwenyewe, kama ni swala la familia ama jamii yetu tunaomba sote pamoja na kwa ajili yetu sio kwa ajili ya mtu/watu wengine maana nao wanayo nafasi ya kufanya hivyo. Wewe mwenye elimu endelea kuombea watu wengine ukajisahau mwenyewe ndio maana unaandika vioja. Ati una smell satanics act? damn, wakristu wengine jamani...
 
asante sana nepi nawewe utaingia kwenye kumbukumbu za kutu saidia kuimaliza CCM...
 
helo wanajamvi , mimi napanga , pamoja na kushiriki kutoa elimu kupitia hapa JF sikupendelea sana kushawishi wapangaji wenzangu kuhusu msimamo wangu wa kutokukubali kuhesabiwa , hata bango langu nimelipiga picha na kuliweka hapa kama avatar yangu, KILICHONISHANGAZA NI KARANI WA SENSA ALIPOKUJA MIMI NILIKUWA BADO NIMELALA, WAPANGAJI WENZANGU WAKANIAMSHA KAMA NINA NIA YA KUHESABIWA NIKAMWAMBIA KARANI HAPANA, MIMI SIHESABIWI, nilipowauliza baada ya Karani kutoka wakaniambia wao pia hawakusabiwa, wote hapa ni waislamu kasoro mpangaji mmoja ni Mkristo, nae nasikia walimpa kipaumbele kumuamsha akasema hahesabiwi!!! hili limenipa faraja sana nimeelewa kuwa tutashinda katika vita hii ya kutafuta haki na usawa tuliyopokonywa kuanzia wakati wa ukoloni hadi sasa serikali hii inayoendeshwa kwa Mfumo Kristo. ALHAMDULLILAH
 
Wakimaliza wenzao watawaazima na nyinyi mfanye kazi
 
Asipo kosea tutamkosoa nani? Unajua upinzani maana Yake ni kupinga Vitendo vibovu na kauli kama izo za wutawala kwa maslahi ya taifa, taifa linahitaji kauli zanye vipimo Kama vya mnyika tofauti na nape kalewa hapimi kauli zake ni akina liwalo na liwe...
 
Sensa itatafanyika kwa kuhesabiwa pale utakapokuwa usiku wa kuamukia tarehe 26. Kama treni itafika kwenye kituo, saa 6:01 hapo ndipo waliomo ndani ya treni wote watahesabiwa. anayeona hiyo ni kero, anapaswa kuelimishwa. na kamwe hapaswi kulaumiwa. Ujinga ni bora kuliko upumbafu, maana dawa ya ujinga, ni kuelimishwa, wakati hakuna dawa ya upumbafu.
 
ALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.

Jua likizama jioni kama utalitazama ukiwa pwani utaona kama limezama baharini, ile mbingu inayoonekana imegusa bahari au hata nchi kavu huitwa HORIZON, kwa mamilioni ya miaka watu wengi hawakuwahi kufikiria jua linazama wapi na mbele ya horizon kuna nini!

Usipopanua ufahamu wako hadi kuvuka dini yako au imani yako, wewe ni dubwasha tu, ubongo unatumikia watu wengine! Ubongo wako na ule wa Mahatma Gandhi ni sawa tu ila matumizi yake ndio mnatofautiana. Toka humo kwenye kiberiti cha woga wa dini!
 
Hivi na maskani watapita? Maana kuna vijana kule makazi hawana na kwa kuwa hawakulala nyumbani usiku wa kuamkia 26/08 basi hawatahesabiwa. Kundi hili ni kubwa pia?!!! Maisha bora kwa kila mtuanzania, kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi!!
 
Serikali sikivu...sasa subiri spin doctors waingie kazini kufanya vitu vyao....tusitegemee kabisa kusikia kauli, "Zoezi la kuhesabu watu nchini halikufanikiwa."

Nothing to loose waache wagome na mwalimu wao kipofu shehe ponda
 
Hivi huyu jamaa msomi Mnyika aligraduate chuo gani hapa duniani?

Mnyika ana advantage ya zaidi, pamoja na kwamba anaweza leta vyeti ila kwa vile haombi World Bank, katik ulingo wa siasa hakuna mashaka hakamatiki.Watu wataficha vyeti vyao.
 
Sisi tunaamini kuwa watanganyika wote ni wanachama wetu. tofauti ni aina ya uanachama. wapo kundi la kwanza la wanachama hai, na kundi la pili ni wale wengine. ila wote ni wanachama wetu.
 
Hapo ndo uone jinsi watz tulivyoamua akili ndogo iongoze akili kubwa, tumechagua ujinga na kuacha busara!!! Unaweza kuona myopic politician na foresighted politician katika hao. Huyo wa chama tawala ni janga la taifa kama chama chake!!!
 
Back
Top Bottom