Ndugu yangu sijui nikwambieje. You are so brain washed. Sensa hii, ijue idadi ya walemavu, idadi majumba ya ibada, idadi ya mifugo. Lakini sio idadi ya watu kwa mujibu ya dini zao. Vipi serekali itapanga mipango yake in focus of the diversity of its people. Nini kimepelekea kuchinja pundamilia kwa wadzabe kama wasingejua the diversity of the tribe. Yaani kama hili ni swali umeulizwa darasani halafu ukalijibu bila kujumuisha kipengele cha dini. Sidhani kama ungelifaulu kwa kiwango cha juu. Yaani kutokujua watu kulingana na dini zao sio logic ya sensa yoyote duniani. Nadhani wewe hapa ndio mjinga. Brain washed.