Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
mkuu zoezi la sensa lipo kisheria nchini na si suala la vyama. thats why dr slaa na viongozi wote wa cdm walikuwa wanawahamasisha wananchi wote wa tz washiriki bila kujali itikadi au dini. cdm ni chama makini ambacho kipo kwa ajili ya watanzania wote. so kamanda mnyika, kikauli yuko right kabisa.