Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

Wasiwasi wangu ni kwamba kuanzia kesho kuna special task ntakua nafanya kutoka job samoja hadi mbili sasa itakuaje??!

Hapo pagum mkuu wangu.

Lakini mkuu unaishi peke yako? Alafu sijajuwa kama uanaweza jipeleka kwa balozi akakuwakilisha, sijajuwa taratibu zikoje hapo.

Any way, tutahesabiwa tu, nadhani na wale wengine wakuunge mkono nao waone uchungu kama wewe, wasijifiche kwenye nyumba za ibada. Jamani kuhesabiwa ni haki yetu ya msingi. Nitahakikisha nahesabiwa, ole wao wasije kwangu watanitambua lazima nikinukishe kwa kuninyima haki yangu na kula kodi yangu bila kufanya kazi na kutimiza wajibu wao.
 
ALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.

Nchi hii tunakoelekea tutachapana ngumi, wakristo wangekuwa na akili kama zenu watu wa uamsho kungekuwa hakukaliki lakini kwa mwendo huo itabidi wakristo kama wapo waamke na kulianzisha pia kwasababu mmezidi....huyo mungu wenu nina mashaka naye kama ni mungu wa kweli au la...
 
Si mbwembwe ni ukarimu tu mama alinifundisha..mi mchaga mkuu.
Kwaiyo wapangaj wenzangu wanaeza kunijibia? Au kaya maana yake ni nini? Wao hawajui kama nna ng'ombe au la..kama nna watoto au la..sasa itakuwaje??!
Maswali ni haya:
1. majina kamili
2. umri
3. elimu
4. kazi yako
5. makazi yako
6. umeowa /umeolew au single
7. una mifugo au huna
8. Uraia
9. sehemu ambayo huwa unaishi zaidi
10. uhusiano wako na huyo atakayetoa maelezo yako.

Haya ndio maswali basic, zingine ni mbwewmbwe tu. by the way unaonekana wewe ni mtoto mdogo kwani hii ndio sensa yako ya kwanza kukuta ukiwa duniani?
 
Tehe tehe tehe! Kwi kwi kwi!
Elimu madrasa bila elimu dunia ni hatari sana kwa afya ya destny yako.
Ya mungu mpe mungu ya kaisari(jey key) mpe kaisari(jey key).
 
kumbe ni Mungu wenu ndio kawaamuru msusie Sensa!! Hapo ndio nasemaga Mungu wenu lazima apimwe akili na Marehemu Mohamad (RIP) anatuletea mavurugu tu hapa duniani
 
Maswali ni haya:
1. majina kamili
2. umri
3. elimu
4. kazi yako
5. makazi yako
6. umeowa /umeolew au single
7. una mifugo au huna
8. Uraia
9. sehemu ambayo huwa unaishi zaidi
10. uhusiano wako na huyo atakayetoa maelezo yako.

Haya ndio maswali basic, zingine ni mbwewmbwe tu. by the way unaonekana wewe ni mtoto mdogo kwani hii ndio sensa yako ya kwanza kukuta ukiwa duniani?
Matola wats ur definition of mtoto mdogo? Huenda ndiye mtoto mdogo mwenye three yrs working experience (kama ww ni mtu mzima utapata approximate age yangu) na utagundua miongo hiyo miwili ya mwanzo hata kama walikuja sikuwa na authority ya kujibu. This time nataka kujijibia mwenyewe...umenielewa sijui??!
 
Last edited by a moderator:
kumbe ni Mungu wenu ndio kawaamuru msusie Sensa!! Hapo ndio nasemaga Mungu wenu lazima apimwe akili na Marehemu Mohamad (RIP) anatuletea mavurugu tu hapa duniani
Vp yule mungu wa kishkaji anakuja duniani through uk*, kula kwenda choo, kisha kupigwa, akili zake zinazidi mbili?
 
Sasa habari za Zanzibar zinatuhusu vipi wabara?
Halafu,iweje kuhesabiwa kwa hao kuwe habari?
 
Matola wats ur definition of mtoto mdogo? Huenda ndiye mtoto mdogo mwenye three yrs working experience (kama ww ni mtu mzima utapata approximate age yangu) na utagundua miongo hiyo miwili ya mwanzo hata kama walikuja sikuwa na authority ya kujibu. This time nataka kujijibia mwenyewe...umenielewa sijui??!
Siwezi kukuelewa bana, last sensa ilikuwa 2002 sasa kama ulikuwa hujibu mwenyewe maswali sasa ni kwa nini nisiseme wewe ni mtoto? na hiyo miongo miwili inakujaje hapo? miongo ndio decade?
 
Siwezi kukuelewa bana, last sensa ilikuwa 2002 sasa kama ulikuwa hujibu mwenyewe maswali sasa ni kwa nini nisiseme wewe ni mtoto? na hiyo miongo miwili inakujaje hapo? miongo ndio decade?

Hivoee af mbona iyo siikumbuki?? 2002 nlikua sekondari. Af nnamaanisha nlikua chini ya uangalizi wa wazazi so ata kama ilikuwepo basi walinijibia. Zis tym nna adi vitoto vinaitwa Jael Mentor, victor Mentor na wengine sijaambiwa majina.
 
sensa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa letu, hivyo sioni tatizo kwa garimoshi abiria wake kuhesabiwa kama ni mwelewa
 
Nchi hii tunakoelekea tutachapana ngumi, wakristo wangekuwa na akili kama zenu watu wa uamsho kungekuwa hakukaliki lakini kwa mwendo huo itabidi wakristo kama wapo waamke na kulianzisha pia kwasababu mmezidi....huyo mungu wenu nina mashaka naye kama ni mungu wa kweli au la...
Kama hamtachangamka tutawatawala mpaka siku yenu ya mwisho!nyie leteni sifa za kijinga,Nasikia wengine wanasema eti kuna ruzuku gvt inatoa kwa ajili ya kuendesha taasisi za kidini,kaeni hapo mle mchele na tendeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Sasa habari za Zanzibar zinatuhusu vipi wabara?
Halafu,iweje kuhesabiwa kwa hao kuwe habari?

Mkuu inaonesha wenzetu wanavo tii mamlaka na jinsi wanavothamini mipango ya maendeleo huko kwao kimkakati kwa kutambua idadi yao, watajipanga na kupangana vema.
 
Yupi yupo sahihi kati ya hawa makatibu waenezi wa vyama hivi viwili kuhusiana na sensa

NAPE: NAHIMIZA WANACHAMA WOTE WA CCM WAHAKIKISHE WANAHESABIWA TENA WA KWANZA KWENYE SENSA

MNYIKA: NAWAHIMIZA WATANZANIA WOTE WAHAKIKISHE WANAHESABIWA KWENYE ZOEZI HILI LA SENSA

Source: TBC HABARI YA SAA MBILI USIKU LEO TAREHE 26-08-2012

Nawasilisha
 
Nape ni mropokaji yeye anakua sensa ni kwa wanaCCM tu, Fikra finyu
 
kumbe ni Mungu wenu ndio kawaamuru msusie Sensa!! Hapo ndio nasemaga Mungu wenu lazima apimwe akili na Marehemu Mohamad (RIP) anatuletea mavurugu tu hapa duniani

Sasa inakuwaje unatukana imani za watu?! Kwani wewe ni nani aliyekuambia hao akina Ponda wamekataa sensa kutokana na imani yao kutoruhusu?! Ni bahati nzuri dini yangu ya haki inanimabia "WALA MSIWATUKANE WALE AMBAO WANAWAABUDU, KINYUME CHA MWENYEZI MUNGU WASIJE WAKAMTUKANA MWENYEZI MUNGU KWA JEURI ZAO BILA KUJUA.........(QURAN 6:108)" Waislamu wanakatazwa kutukana wale wanaoabudiwa na wengine ili nao wasije wakamtukana mungu wetu wa haki tunayemwamini! Haidhuru, hata kama katazo kama hilo halipo kwenye maandiko yenu basi ni bora ukafuata hayo ili wasije na wao wakamtukana yule unayemwamini!
 
Back
Top Bottom