Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

kumbe ni mungu wenu ndio kawaamuru msusie sensa!! Hapo ndio nasemaga mungu wenu lazima apimwe akili na marehemu mohamad (rip) anatuletea mavurugu tu hapa duniani

Maneno yanayo kutoka sio ajabu sana. Kama viongozi wenu wa ibada wana shikana MATA**, sio ajabu kwa wafuasi kua na lugha kama hizo.

Matola your the another numpty head that shouldn't get to enjoy freedom of speech humu JF , i mean really wtf are you going on about kama ni pombe na kiti moto hebu punguza seems zina kupunguzia uwezo wako wa kufikiri nawaonea sana huruma watu wako karibu Sitting next to someone like you would be painful
 
Jua likizama jioni kama utalitazama ukiwa pwani utaona kama limezama baharini, ile mbingu inayoonekana imegusa bahari au hata nchi kavu huitwa HORIZON, kwa mamilioni ya miaka watu wengi hawakuwahi kufikiria jua linazama wapi na mbele ya horizon kuna nini!

Usipopanua ufahamu wako hadi kuvuka dini yako au imani yako, wewe ni dubwasha tu, ubongo unatumikia watu wengine! Ubongo wako na ule wa Mahatma Gandhi ni sawa tu ila matumizi yake ndio mnatofautiana. Toka humo kwenye kiberiti cha woga wa dini!

At least Ubongo wangu haungozwi na kina MOKIWA + MTIKILA. Tehe! Tehe! Take care Brother.
 
nchi hii tunakoelekea tutachapana ngumi, wakristo wangekuwa na akili kama zenu watu wa uamsho kungekuwa hakukaliki lakini kwa mwendo huo itabidi wakristo kama wapo waamke na kulianzisha pia kwasababu mmezidi....huyo mungu wenu nina mashaka naye kama ni mungu wa kweli au la...

Ili umjue mungu wa kweli kwanza kasome tuition ujibu hili swali. 1+1+1= ?. ukipata jibu sahihi hapa mathematically proven, then you shall know the truth and the truth that ye know, shall set you free.

Ingependeza sana endapo hilo lingefanikiwa asiyetaka kuhesabiwa kwa hiari ahesabiwe kwa virungu akiwa rumande!
Sensa ni zoezi linalotakiwa mtu akubaliane nalo bila kulazimishwa itakapotokea mtu kulazimishwa atatoa taarifa za uongo ambazo hazitasaidia kuleta tunachotarajia hivyo cha muhimu hapa sio kulazimishana au hata kupelekana rumande ni kutumia hekima na upole ili kupata tunachotarajia
 
At least Ubongo wangu haungozwi na kina MOKIWA + MTIKILA. Tehe! Tehe! Take care Brother.

akili yako wewe inaongozwa na mtu?
Maajabu kabisa.
Mimi sishikiwi akili yangu na mtu yeyote.
 
Sensa ni zoezi linalotakiwa mtu akubaliane nalo bila kulazimishwa itakapotokea mtu kulazimishwa atatoa taarifa za uongo ambazo hazitasaidia kuleta tunachotarajia hivyo cha muhimu hapa sio kulazimishana au hata kupelekana rumande ni kutumia hekima na upole ili kupata tunachotarajia
Hayo unayosema yanawezekana kwenye nchi zilizoendelea na zenye ustaraabu Tanzania bado yaani tunatakiwa kuwa na utawala wa kusukuma watu kutenda wajibu wao., nchi sasa hivi inatakiwa itawaliwe na mtu mwenye mkono wenye nguvu kwa miaka mitano kumi hivi ili kuwa shape watu baada ya hapo ndio demokrasia irudi tena!!
 
Hakuna sensa hapa..mi nimewatajia majibu ya uongo tupu..nimezidisha idadi ya wakazi kwenye kaya yangu na nimetoa majina na umri wa uongo..alivyo poyoyo huyu karani nimesema kwangu kuna watu 6 na vifo vilivotokea mieI 12 iliyopita mi nimesema 6 ..wala hajastuka anajaza tu mafomu yake
 
Aliye gombea ubunge Tanga kwa ticketi ya CHADEMA 2010 amekamatwa kwa kuwashawishi watu wasihesabiwe. Kuna haja ya kutoa semina elekezi kwa viongozi wetu waliopo na watarajiwa kwan pia huko tabora kiongoz mmoja wa chadema nyumba yake imekutwa na bango "hatuhesabiwi"

Source: channel ten saa moja.
 
Aliye gombea ubunge Tanga kwa ticketi ya CHADEMA 2010 amekamatwa kwa kuwashawishi watu wasihesabiwe. Kuna haja ya kutoa semina elekezi kwa viongozi wetu waliopo na watarajiwa kwan pia huko tabora kiongoz mmoja wa chadema nyumba yake imekutwa na bango "hatuhesabiwi"

Source: channel ten saa moja.........

Kilichokufurahisha wewe ni kuwa ni Viongozi wa CHADEMA? PONDA naye sikujua kuwa ni CHADEMA.
 
Hayo unayosema yanawezekana kwenye nchi zilizoendelea na zenye ustaraabu Tanzania bado yaani tunatakiwa kuwa na utawala wa kusukuma watu kutenda wajibu wao., nchi sasa hivi inatakiwa itawaliwe na mtu mwenye mkono wenye nguvu kwa miaka mitano kumi hivi ili kuwa shape watu baada ya hapo ndio demokrasia irudi tena!!

who do u think anaeza tuongoza ?
 
siyo hana uwezo wa kusupply bidha watu wanaangalia keshi siyo mkopo, serikali yenyewe ya mikopo mikopo kulipa kwa manati bora umdai mtu binafsi kuliko kuidai serikali mbona utakufa na njaa na yenyewe huku iko hai na kuendeleza ufisadi yani hata haya hawana kazi karenda tu.
 
Viongozi wa serikali wanapokosa nguvu ya kuhamasisha wananchi kwa mambo ya msingi kama sensa basi ujue wamechokwa mpaka basi,kwa tathmini ya haraka zoezi hili ni gumu na tusitegemee kupata takwimu sahihi zaidi ya kupika takwimu..
 
siyo dar tu hata huku kwetu hawahesabiwi waislamu, pia wakristo nao hawataki wanadai wanapewa pesa? waache shughuri zao wakae nyumbani kungoja kuhesabiwa!
 
zoezi la sensa ni siku 7 siku moja au mbili haliwezi kufanikiwa
 
waambie wavute subira zoezi bado linaendelea hadi siku saba
 
Back
Top Bottom