helo wanajamvi , mimi napanga , pamoja na kushiriki kutoa elimu kupitia hapa JF sikupendelea sana kushawishi wapangaji wenzangu kuhusu msimamo wangu wa kutokukubali kuhesabiwa , hata bango langu nimelipiga picha na kuliweka hapa kama avatar yangu, KILICHONISHANGAZA NI KARANI WA SENSA ALIPOKUJA MIMI NILIKUWA BADO NIMELALA, WAPANGAJI WENZANGU WAKANIAMSHA KAMA NINA NIA YA KUHESABIWA NIKAMWAMBIA KARANI HAPANA, MIMI SIHESABIWI, nilipowauliza baada ya Karani kutoka wakaniambia wao pia hawakusabiwa, wote hapa ni waislamu kasoro mpangaji mmoja ni Mkristo, nae nasikia walimpa kipaumbele kumuamsha akasema hahesabiwi!!! hili limenipa faraja sana nimeelewa kuwa tutashinda katika vita hii ya kutafuta haki na usawa tuliyopokonywa kuanzia wakati wa ukoloni hadi sasa serikali hii inayoendeshwa kwa Mfumo Kristo. ALHAMDULLILAH