Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 63,712
- 159,763
💚Given from above hii haihitaji dawa babuuu hahami mtuuu🤠🤠🤠🤠🤠 !Kweli sisi ndiyo wakuwa na jersey rangi ya kiganga😅🙌
Ngoja nimwambie Mkwe aongeze dawa ili uhamie msimbazi moja Kwa Moja 😜
Mkweo ako vyedi sana kwanza haoneshi kushabikia timuuu yoyote yee kila mechi huitakia ushindi timu Tanzania iwe 💚💪 Ama kolozidadi😁😁!