Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#breakfastforlunch
20240505_142629.jpg
 
Nadhani Kuna haja tubadirishe na uongozi uliopo, maana hii sio kawaida Kufungwa na Mtani mechi mbili za Ligi KUU mfululizo pamoja na kukosa Ubingwa namna hii 🙆
polee sana 😎 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😎
 
Hongera, binafsi nashindwa labda niende nikafanyie kazi zangu hotelini kuepusha interference ya watoto maana wakikuona home Siku hiyo watataka muanze kucheza "yesha yesha yeah...." kama wote mko class one 🤗🙌
Ndio raha ya watoto jamani!😁
Wafurahie kabla hawajaingia kwenye u-teenager wakapoteza interest na wewe.

Mi huwa nikisema sasa hivi nafanya kazi usumbufu unakuwepo kidogo tuhevery now and then.
 
Back
Top Bottom