Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Hao jamaa wameamua kuweka ATM nje ya hotel yao, yaani ukiwa mzembe utajikuta unakula Hela yote hadi ile uliyosema ni ya akiba 😅🙌jionii hii kumekuchaaa karibuni zanzibarView attachment 2983560
Hao jamaa wameamua kuweka ATM nje ya hotel yao, yaani ukiwa mzembe utajikuta unakula Hela yote hadi ile uliyosema ni ya akiba 😅🙌jionii hii kumekuchaaa karibuni zanzibarView attachment 2983560
Santo sana sis Muwe mnatupia Kama hivi na wengine tuonepo maghorofa hata kwenye mitandao tu walau 😊!
😂😂😂😂😂Ila ccy bn kwa hiyo huko ulipo hakuna maghorofa.Santo Muwe mnatupia Kama hivi na wengine tuonepo maghorofa hata kwenye mitandao tu walau 😊!
Yayoke wapi nduguu! Huku ni mapori kwakwenda mbelee 😁!😂😂😂😂😂Ila ccy bn kwa hiyo huko ulipo hakuna maghorofa.
Lakin hali ya hewa ya huko mim hoiiiiiiiii taabani.Yayoke wapi nduguu! Huku ni mapori kwakwenda mbelee 😁!
Yeah kwa hali ya hewa tu Pako vizuri sana!Lakin hali ya hewa ya huko mim hoiiiiiiiii taabani.
Em ni bless kwanza ccyYeah kwa hali ya hewa tu Pako vizuri sana!
Usijali sis ngoja niangalie japo za muda mrefu dakika sifuriEm ni bless kwanza ccy
Sawa tu ccyUsijali sis ngoja niangalie japo za muda mrefu dakika sifuri
Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Mrembo uko wapiIle Siku ungefika huku uone hali ya hewa kama ya ulaya Sis