Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 Kwahiyo upo hapa kwaajiri ya kutoa siri zetu?? Haya zitoe zote usiache hata moja yani zote toa.!!
Halafu mbona umenikalia kooni nini mbaya??
Acha kujihami, mambo ya siri yanatoka wapi? We ndio umeleta sijui kunichachua, ndio nakuambia usije ukajaribu
 
Acha kujihami, mambo ya siri yanatoka wapi? We ndio umeleta sijui kunichachua, ndio nakuambia usije ukajaribu
Unanichosha bana, mimi sina muda wa kupigana mikwara hapa na wewe!! Ukijisikia kutapika tapika yote.!!!
 
Back
Top Bottom