Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,475
Sana!!!Mhh hii chai itakua tamu sana😃
Nimekoleza sukari 😁
Sana!!!Mhh hii chai itakua tamu sana😃
Mwaka mpya na magauni mapya🔥
Thawa thawaaSafi sana
Uko vzr naona kuna hadi smirnofffThawa thawaa
Selfika basi wamelala saa hzThawa thawaa
Yeah SmirnoffUko vzr naona kuna hadi smirnofff
Sina picha mpya zote zile zile.Selfika basi wamelala saa hz
Saa hz giza mremboSina picha mpya zote zile zile.
Em selfika na ww leo kaka angu.
Utakua hauko pekee yako hapo..hahahahahahaYeah Smirnoff
Najibust kidogo
Asubui kufuta vioo kwa Wahindi.
Hapana niko peke anguUtakua hauko pekee yako hapo..hahahahahaha
Saa hz giza mrembo
Mrembo km wewe unakuaje pekee yakoHapana niko peke angu
Sema tu sina usingizi.
Nasubiri posa tu.Mrembo km wewe unakuaje pekee yako
Hahahahaha...itakua mleta posa yuko tayariNasubiri posa tu.
Niende ukweni 😂😂😂😂
Duh...Ibada🙂
Mleta posa mwenyewe anasema kila siku Kesho kesho.Hahahahaha...itakua mleta posa yuko tayari
MhhhhhhhIbada🙂