Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio raha ya watoto jamani!😁
Wafurahie kabla hawajaingia kwenye u-teenager wakapoteza interest na wewe.

Mi huwa nikisema sasa hivi nafanya kazi usumbufu unakuwepo kidogo tuhevery now and then.
Yaani nimewanunulia baiskeli/ipads Kila mmoja iwa-keep busy lakini haijasidia

Wao hutaka kuchukua wakati wangu Kwa kutaka kucheza tu 🙌

Huyo wako ni msikivu Kwa kuwa yuko mwenyewe, Mimi wangu ni timu ya Tennis halafu ni wakiume tupu

Kwahiyo wakianza Vurugu zao hadi unachoka aisee 😅
 
I love that!! It means they enjoy your company more than material things kwasababu unaitendea haki nafasi yako. Endelea kuwapambania!🤗

Kuna muda huwa nacheka sana na excuses anazokuja nazo ili tu anisemeshe kidogo nikiwa busy.😁
 
Attachments

  • IMG_7383.jpeg
    IMG_7383.jpeg
    1.6 MB · Views: 6
I love that!! It means they enjoy your company more than material things kwasababu unaitendea haki nafasi yako. Endelea kuwapambania!🤗

Kuna muda huwa nacheka sana na excuses anazokuja nazo ili tu anisemeshe kidogo nikiwa busy.😁
Shukrani Mkuu, watoto ni fahari na baraka 🙏

Hongera kwako pia, najua vile unapambana kwaajili yake. Ingekuwa tupo jeshini ningekupa nyota zako 💪
 
Back
Top Bottom