Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,680
- 11,676
🤣🤣🤣🤣🤣🤣what's the hell is this shiiiit! disgusting 🤯wanakeraaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣what's the hell is this shiiiit! disgusting 🤯wanakeraaa
Hahahahaha..mie nakula hadi kenge ,mbwa huko kwetu hivyo ndio vyakula ila miguu ya kuku hapana..hiyo lugha gani umeongea Rafiki🤣Osama bin laden anafichwaga au anajificha?.... Kama unapenda utumbo basi ukija uswahili kwetu hautotukera kama wenzio,wanasemaga what's the hell is this shiiiit! disgusting 🤯wanakeraaa
Wapi huko kwenu?halafu hili swali Kila siku unalikwepa😂nawasikiaga wakiongea hiyo lugha watoto wanaotoka mtaani kwenuHahahahaha..mie nakula hadi kenge ,mbwa huko kwetu hivyo ndio vyakula ila miguu ya kuku hapana..hiyo lugha gani umeongea Rafiki
Babu hakika wewe ni mtunzaji mahiri!yaani umenunua raba kabla ya vita vya nduli Idd Amini Dada,Leo nenda kwenye super Feo upokee zawadi ya tumbaku mpya kutoka Namtumbo uvute kwenye Kiko chakoJina lake maarufu ni RabaMtoni, jina hili limeanza kutumika miaka 90 japo raba tumeanza kuvaa tangu zamani
Mfano hii niliyovaa niliinunua Mwaka 1972 🤗😜
AAah wapiiiKuwa na imani na Wazee 😜
Jezi ya mnyama imekupendeza balaa 🤗Michezo ni afya!
Muwe na Siku njema wapendwa
Kweli Mjukuu umejua kunipatia hasa kwenye kuniletea hiyo tumbaku 🤗Babu hakika wewe ni mtunzaji mahiri!yaani umenunua raba kabla ya vita vya nduli Idd Amini Dada,Leo nenda kwenye super Feo upokee zawadi ya tumbaku mpya kutoka Namtumbo uvute kwenye Kiko chako
Kuwa na imani na Wazee Mjukuu, hutaki tukuachie mashamba ya urithi 😜🤗AAah wapiii
Jezi ya mnyama imekupendeza balaa 🤗
Kwa kweli miaka hii miwili (2) tumevurugwa kweli kweli 🙌Wanalunyasi msimu huu mmevurugwa vibayaaa 🤠🤠🤠!
Poleni sanaaaa
Hahaha nakumbuka mambo ya uwanjani...Michezo ni afya!
Muwe na Siku njema wapendwa
Nipo makini sana bossiiiii hahahaha! Ile siku smart weweee 🤠🤭!Hahaha nakumbuka mambo ya uwanjani...
Bado unaenda tena...Nipo makini sana bossiiiii hahahaha! Ile siku smart weweee 🤠🤭!
Hapana love leo tulikua na competition wanawake netball na football au unatata uone 🤳🤳🤳🤳🤳nikisakata kabumbu kuitetea Yangaaa uweeeeeeehh😊😊🤠🤠!Bado unaenda tena...
Hujasahau kilichomtoa kanga manyoya...
Jersey ya 5imba nehiiii nehiii mtanii hapo nivile netball ndio jezi rangi zizokuepo😁mbona nusura nikatae kucheza wewe rangi gani za kiganga hizo hapana kwakweli!Kwa kweli miaka hii miwili (2) tumevurugwa kweli kweli 🙌
Ila mtani hiyo jersey ya Mnyama imekukubali balaa, nitamshawishi Mkwe wangu akushawishi uhamie Msimbazi tu 😜
Hahaha nyekundu na nyeupe kimpira ni rangi za kimataifa, we uliona wapi timu kubwa ina rangi ya kijani hata hiyo njano yenyewe ni timu nne sijui, ila timu kubwa nyingi rangi zao ni nyekundu na nyeupe na wala hawana hayo mambo ya ugangaJersey ya 5imba nehiiii nehiii babuuu hapo nivile netball ndio jezi rangi zizokuepo😁mbona nusura nikatae kucheza wewe rangi gani za kiganga hizo hapana kwakweli!
😁😁!Hahaha nyekundu na nyeupe kimpira ni rangi za kimataifa, we uliona wapi timu kubwa ina rangi ya kijani hata hiyo njano yenyewe ni timu mbili sijui, ila timu kubwa nyingi rangi zao ni nyekundu na nyeupe na wala hawana hayo mambo ya uganga
Jifarijini tu na rangi zenu za maccm😁😁!
Waganga kama waganga wengine tu kweli mganga hajigangi!
Kweli sisi ndiyo wakuwa na jersey rangi ya kiganga😅🙌Jersey ya 5imba nehiiii nehiii mtanii hapo nivile netball ndio jezi rangi zizokuepo😁mbona nusura nikatae kucheza wewe rangi gani za kiganga hizo hapana kwakweli!