Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uongo ni wewe ……..!! Sema nini umejitahidi kuzuga japo kuna sehemu unajikanyaga 😂😂😂😂
kweli watu wa jf akili ni moja,, nimejoin mwaka jana mwez wa kwanza tareh 19 leo mnakuja kusema najikanyaga🤣🤣🤣🤣kaz mnayo🤣🤣🤣🤣
 
kweli watu wa jf akili ni moja,, nimejoin mwaka jana mwez wa kwanza tareh 19 leo mnakuja kusema najikanyaga🤣🤣🤣🤣kaz mnayo🤣🤣🤣🤣
Wee tulia tusimwage mchele kwenye kuku wengi hapa 😂😂😂😂
Watu wana id wamefungua miaka 10 iliyopita na wanaziweka pembeni, mpk wakiona kumechafuka ndo wanazitumia.!!
 
Back
Top Bottom