Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado unaenda tena...

Hujasahau kilichomtoa kanga manyoya...
Hapana love leo tulikua na competition wanawake netball na football au unatata uone 🤳🤳🤳🤳🤳nikisakata kabumbu kuitetea Yangaaa uweeeeeeehh😊😊🤠🤠!

Football mi Beki mmoko matata sana nipo hapaaaa mpinzani hakupenyaaaa😁😁😁

💚💛🖤Daima mbeleeeee

💪💪💪
 
Kwa kweli miaka hii miwili (2) tumevurugwa kweli kweli 🙌

Ila mtani hiyo jersey ya Mnyama imekukubali balaa, nitamshawishi Mkwe wangu akushawishi uhamie Msimbazi tu 😜
Jersey ya 5imba nehiiii nehiii mtanii hapo nivile netball ndio jezi rangi zizokuepo😁mbona nusura nikatae kucheza wewe rangi gani za kiganga hizo hapana kwakweli!
 
Jersey ya 5imba nehiiii nehiii babuuu hapo nivile netball ndio jezi rangi zizokuepo😁mbona nusura nikatae kucheza wewe rangi gani za kiganga hizo hapana kwakweli!
Hahaha nyekundu na nyeupe kimpira ni rangi za kimataifa, we uliona wapi timu kubwa ina rangi ya kijani hata hiyo njano yenyewe ni timu nne sijui, ila timu kubwa nyingi rangi zao ni nyekundu na nyeupe na wala hawana hayo mambo ya uganga
 
Hahaha nyekundu na nyeupe kimpira ni rangi za kimataifa, we uliona wapi timu kubwa ina rangi ya kijani hata hiyo njano yenyewe ni timu mbili sijui, ila timu kubwa nyingi rangi zao ni nyekundu na nyeupe na wala hawana hayo mambo ya uganga
😁😁!

Waganga kama waganga wengine tu kweli mganga hajigangi!
 
Jersey ya 5imba nehiiii nehiii mtanii hapo nivile netball ndio jezi rangi zizokuepo😁mbona nusura nikatae kucheza wewe rangi gani za kiganga hizo hapana kwakweli!
Kweli sisi ndiyo wakuwa na jersey rangi ya kiganga😅🙌

Ngoja nimwambie Mkwe aongeze dawa ili uhamie msimbazi moja Kwa Moja 😜
 
Kweli sisi ndiyo wakuwa na jersey rangi ya kiganga😅🙌

Ngoja nimwambie Mkwe aongeze dawa ili uhamie msimbazi moja Kwa Moja 😜
💚Given from above hii haihitaji dawa babuuu hahami mtuuu🤠🤠🤠🤠🤠 !

Mkweo ako vyedi sana kwanza haoneshi kushabikia timuuu yoyote yee kila mechi huitakia ushindi timu Tanzania iwe 💚💪 Ama kolozidadi😁😁!
 
Wapi huko kwenu?halafu hili swali Kila siku unalikwepa😂nawasikiaga wakiongea hiyo lugha watoto wanaotoka mtaani kwenu
Hahahahaha....kwetu uswazi pindaz boz [ UPB ] ....hiyo lugha kwetu haipo wala hatuijui...ndio maana nimekuuliza wewe uliyeisema
 
💚Given from above hii haihitaji dawa babuuu hahami mtuuu🤠🤠🤠🤠🤠 !

Mkweo ako vyedi sana kwanza haoneshi kushabikia timuuu yoyote yee kila mechi huitakia ushindi timu Tanzania iwe 💚💪 Ama kolozidadi😁😁!
Nimefurahi kwamba yeye yupo neutral

Sisi Bi Mkubwa wetu alikuwa ni Simba Damu, akafanya sisi wote nyumbani kushabikia Simba hadi sasa tumezeeka.

Maana ukitazama hata kadi yangu ya Uanachama ya Simba niliipata Mwaka 47 😜🙌
 
IMG_20240503_094210_290.jpg

Hello Friday 🥂
 
Back
Top Bottom