UsilieeeG huyu asikusumbue bhanaa,
Wee ndo main chick, wee ndo sponsor km sponsor.
Nipatie bhanaaa. Au hadi nilie??
Pa kuweka napajuaaa
Ila G.......
Dah....!
UsilieeeG huyu asikusumbue bhanaa,
Wee ndo main chick, wee ndo sponsor km sponsor.
Nipatie bhanaaa. Au hadi nilie??
Wewe ni yupi hapa?
I mic u mnoo suma,cocastic nimekumiss sana..
suma nasema I miss you
haya nimekaa kusubiriii.Usilieee
Pa kuweka napajuaaa
Ila G.......
Dah....!
Basi njoo uchukue!!
Mambo mazuri🥰
siasa hizi bro watu ni matapeliOy mshamba_hachekwi unajua mpaka leo Tesla hwa let's semi walizo ahidi- licha ya zaidi ya watu 30000 ku pre order
Njoo uchukue barafu kidogo....
Yani kale kajamaa, kanjua kucheza na soko la hisa🤣😂😂.siasa hizi bro watu ni matapeli
Nipo njiani, hapo tutakesha wote😉Njoo uchukue barafu kidogo....View attachment 2659948
umesimamaje ile 750ml umepiga yote😂
Madam Dr Lizzy uko speed😁, hata Picha haijafunguka vizuri🤣😂(joking)
Yupo fast kwanye nini?😄Madam Dr Lizzy uko speed😁, hata Picha haijafunguka vizuri🤣😂(joking)
Ku like Picha😁😁Yupo fast kwanye nini?😄