Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenipiga tukio na huyo G wako[emoji24][emoji24][emoji24]
Ila G ni balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G huyu asikusumbue bhanaa,
Wee ndo main chick, wee ndo sponsor km sponsor.

Nipatie bhanaaa. Au hadi nilie??
 
Baby Aaliyyah ukuje Sasa🤣😂
FB_IMG_16862462061620460.jpg
 
Nshapoaa sumaa ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nlikua na shem, wa kuitwa Ismail
Nikawa namuita "suma"

Nkashangaa hili jina likawa common had watu wote wakawa wanamuita suma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

cocastic nimekumiss sana[emoji4]..

suma nasema I miss you[emoji18]
 
Back
Top Bottom