Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Oy we boya, au na sisi tuanzishe solo la hisa la unafiki na umbea😂🤣 mshamba_hachekwi 😁🤣umesimamaje ile 750ml umepiga yote😂
Oy we boya, au na sisi tuanzishe solo la hisa la unafiki na umbea😂🤣 mshamba_hachekwi 😁🤣umesimamaje ile 750ml umepiga yote😂
Taratibu mkuu, usije USA bandari kwa Mara ya pili😁😁🤣Nipo fast sana mkuu
wewe ni veteran wa hizi mambo😂Nipo fast sana mkuu
Sema ancestor uko hapa😁🤣🤣wewe ni veteran wa hizi mambo😂
tafta hela ufanye lobbying uhalalishe bangi tz.... afu u-monopolize supply chain yote uwe una export.... utanishukuru baadaeOy we boya, au na sisi tuanzishe solo la hisa la unafiki na umbea😂🤣 mshamba_hachekwi 😁🤣
Experienced one!wewe ni veteran wa hizi mambo😂
mimi nipo kwenye harakati za kuacha😅Sema ancestor uko hapa😁🤣🤣
Nitakushuru Nikiwa jela au kaburini🤣😁😂tafta hela ufanye lobbying uhalalishe bangi tz.... afu u-monopolize supply chain yote uwe una export.... utanishukuru baadae
Bila uwepo wako shougaaangu selfika haijakamilikaaa mbonaaaaaaaaa![emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Nikiwaga home hata cm sishiki sanaa, mda mwingi nakua na heka heka, afu unakuta nakua na watu wa kupiga nao story, ko hata cm nakua km naikinai hivii.
Napenda pia uwepo wako humu, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Usiache bhana, Kuna kitu mpya imezinduliwa Huku nanjilinjii 😁😂mimi nipo kwenye harakati za kuacha😅
🤣🤣🤣🤣🤣Madam Dr Lizzy uko speed😁, hata Picha haijafunguka vizuri🤣😂(joking)
Nimependa hili jibu😄
Na Mimi je🤣😁😁😂Bila uwepo wako shougaaangu selfika haijakamilikaaa mbonaaaaaaaaa!
Na hekaheka zako Unachangamsha sana humuuu!!
nimefulia bro siwezi ku-fuel hii addiction tenaUsiache bhana, Kuna kitu mpya imezinduliwa Huku nanjilinjii 😁😂
Hayaa, gud luck😁😁, leo hatuliii??
Zipo hadi za jeroo pipa zima, nikija mjini Nita kuletea😂🤣🤣nimefulia bro siwezi ku-fuel hii addiction tena
Leo tunakula juice....au unaonaje???🙄Hayaa, gud luck😁😁, leo hatuliii??
Piga vitu kaka maini mapya ya nn mbinguni tunapewa mwili mpya😀😀😀
Ukweli usemwe tu!🙂Nimependa hili jibu😄