Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Ahaaa hapana, next month atapata jezi yake
Ahaaa hapana, next month atapata jezi yake
So sorry kumbe ni shem darling 🥺Bro mbona una taka kumuharibu girl yangu😁😁
Mimi sivuti sigara, sinywi pombe, so jichanganye kama sijakuacha uzeeke kwenu 😂🤣Sijawah kutumia kilevi kunarafiki yangu akawa ananishawishi niwe natumia hata wine siku moja moja akasema et red wine ni nzuri Kwa afya😂😂😂
Ahaaaaa uongo huoWataalam wanashauri tunywe angalau nusu glass kwa afya....na kwa experiment niliyofanya, half a glass haileweshi.
Siku moja moja kwani utakufa???😟Una nikorofisha🤔, ili usingizie mi ndo sababu ya wewe kuhama jf😁😂🤣
Hili swali niulize mimi🥺Wataalam wanashauri tunywe angalau nusu glass kwa afya....na kwa experiment niliyofanya, half a glass haileweshi.
😂😂Mimi sivuti sigara, sinywi pombe, so jichanganye kama sijakuacha uzeeke kwenu 😂🤣
Ni wa virtual world 🤣😂🤣So sorry kumbe ni shem darling 🥺
Tunaomba ulijibu nisije kujichanganya 😀😀Hili swali niulize mimi🥺
Basi atulie😅Ni wa virtual world 🤣😂🤣
Uli tumia zile dawa🤔Naendelea vizuri kabisa, Mungu anasaidia😌.
Ukizidisha unaelewa?Wataalam wanashauri tunywe angalau nusu glass kwa afya....na kwa experiment niliyofanya, half a glass haileweshi.
One bottle is enough shem dsrlingTunaomba ulijibu nisije kujichanganya 😀😀
Yaah, shukran Mkuu.Uli tumia zile dawa🤔
Kumbe una masikio mazito🤔, Kama sufuria ya kupikia sumu😂🤣Tunaomba ulijibu nisije kujichanganya 😀😀
Shem darling bhana mtu mwenyew nauli kagoma kutuma atulize komwe lake😀One bottle is enough shem dsrling
Niko upande wako na unanikataa....??😟😟Ahaaaaa uongo huo
mbwa wewe kua padri!!Mimi sivuti sigara, sinywi pombe, so jichanganye kama sijakuacha uzeeke kwenu 😂🤣