Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Umeona mdogo wangu, huyu dogo Mwachiluwi atanipa maini yake🤣Piga vitu kaka maini mapya ya nn mbinguni tunapewa mwili mpya😀😀😀
Umeona mdogo wangu, huyu dogo Mwachiluwi atanipa maini yake🤣Piga vitu kaka maini mapya ya nn mbinguni tunapewa mwili mpya😀😀😀
Una nikorofisha🤔, ili usingizie mi ndo sababu ya wewe kuhama jf😁😂🤣Leo tunakula juice....au unaonaje???🙄
Kama navyosubiria post zako tu😊Ukweli usemwe tu!🙂
Kwakweli itabid akupe anatunza maini ya Nini sasaUmeona mdogo wangu, huyu dogo Mwachiluwi atanipa maini yake🤣
Wew usiniambie😀😀😀Usi jaribuu, Ina endaga kule chini 🙊🙊🙄
Nilisikia kwenye redio ya mbao🤣😂😂Wew usiniambie😀😀😀
Au wewe utanipa ini moja inaonekana na wewe unatunza😁Kwakweli itabid akupe anatunza maini ya Nini sasa
Muongo huyo😅Wew usiniambie😀😀😀
Mimi langu linanukia Azam embe kabisa😂😂😂Au wewe utanipa ini moja inaonekana na wewe unatunza😁
Mnanichanganya ujue😀Muongo huyo😅
Ahaa linafaa kabisa hilo😊Mimi langu linanukia Azam embe kabisa😂😂😂
Sasa chini wapi?umemuelewa?Mnanichanganya ujue😀
Bas hamnashida kabisa nitakupa mojaAhaa linafaa kabisa hilo😊
😁☺️Kama navyosubiria post zako tu😊
Huu upendo daah hadi moyo umestuka🥰Bas hamnashida kabisa nitakupa moja
Bro mbona una taka kumuharibu girl yangu😁😁Muongo huyo😅
Sijawah kutumia kilevi kunarafiki yangu akawa ananishawishi niwe natumia hata wine siku moja moja akasema et red wine ni nzuri Kwa afya😂😂😂Nilisikia kwenye redio ya mbao🤣😂😂