Selfika na JF: Snap it. Show it

Aiseee pendaneni hivyo
love is a beautiful thing , sijui alikuwa wapi sikuzote kaja kusema mwaka wa mwisho .

sijawahi kuwa na mahusiano shuleni/chuo but nahisi raha kuwa na mtu ukiingia darasani unqmuona baby yule unasmile huyo unaenda kuketi .
Ndiwoooooooo dear umejuajeeee??
mnakonyezanaa jichooo maisha yanasongaaa, kuna viji ugomvi vya kuchachua penzii bas burudaniiiii.
 
Safi sana raha ya sex kidume uumdominate na aridhike mrembo. Ila na wewe kwa mautundu yako kunako 6×6 lazima G anakuinjoi sana
kwanza wakati G ananifatilia nilikua naona km anataka kunitia shombo. Niliona hatuwezaniii

Ni mkaka m1 mpolee, mkimyaa, mtaratibuu, kifupi ni introvert, bhana bhanaaa

Siku ya kwanza kumpaa, hadi nikawa najiuliza ndo yeye huyu au nimechanganyaa,

G ameniwezaaa
 
Kweli ujue.

Hebu nipe neno la faraja siku za mwisho zimekuwa ngumu sana
Pole sana , kikubwa tusikate tamaa haijalishi maisha yanavyotupeleka ,tumtegemee Mungu na hakika tutashinda .

Rooting for you as you walk through these hard times ,

Cast all your anxiety upon him for he cares for you .
1 Peter 5:7

the one inside you is greater .
I John 4:4
 
Back
Top Bottom