Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,585
Hahahahaha..bajaji hii
Hahahahaha..bajaji hii
Babu kama babu..
Pole mkuu yess kwenu wanaume ni changamoto...Mke wangu amejifungua siku za hivi karibuni lakini namna ya kuishi humu ndani imebadilika nasubiri mdogo ake aje week ijayo ...
Kipindi nachopitia sasa hivi....
Bajaj ya Mwaka 47 hii, wakati huo ikiitwa Tuktuk😜Hahahahaha..bajaji hii
Nipo Mjukuu, nimeamua kuwapa picha yangu ya Mwaka 47 huko 😜🤗Babu kama babu..
Kwenye hiyo barabara kuna mteremko mkali sana, hizo nyumba zipo kwa bondeni ukiwa unashuka.Ukisikia kuumwa na kichwa kwa kujiuliza ndo hii sasa
View attachment 2978284
Yah itakua aiseee....Kwenye hiyo barabara kuna mteremko mkali sana, hizo nyumba zipo kwa bondeni ukiwa unashuka.
So ulikosea njia, ndio matokeo kama hayo.
Una shingo nzuriii ya mpiraMuwe na Meimosi njema wapendwa!
Hivi mtani unajua kama naumwa? Hebu nipunguzie maumivu hapa, dokta kasema niwasiliane na wewe. Haya fanya kweliYah itakua aiseee....
Babu! Kumbe ndio maana bibi kakung'ang'ania!
Una shingo nzuriii ya mpira
Nipunguzie shepu🥺
Hahaha........... ilikuwa zamani, Kwa umri huu wa 79 sasa kidogo amepunguza 😜Babu! Kumbe ndio maana bibi kakung'ang'ania!
Hahahaha..tuktukBajaj ya Mwaka 47 hii, wakati huo ikiitwa Tuktuk😜
Naona aiseee... 😀 😀 😀 😀Haha babu anakuletea michezo
Babu hizi ndio zinaitwa raba mtoni au Rosso?