Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,846
Mbona siioni? Eti Aaliyyah kwa nini umeiondoa?Umependeza dear
misuko ya kujiachia hiyo ..
Mbona siioni? Eti Aaliyyah kwa nini umeiondoa?Umependeza dear
misuko ya kujiachia hiyo ..
Yes dear ziachie hata mara moja ..Kilivhojiri Sasa 😀 zitafunikwa had ziombe msamaha kunamtu kanishauri kesho nitembee hivhiv mjini😂😂😂
😂😂😂Hii Tecno werevaAunt nunua simu 😂😂
Usiku mbona picha zinatoka tu.
Tutamuuza Kai tununue simu aunt
Infix zero 2
Saa saba na dk 31 usiku
View attachment 2640772
Nipo poa dadaakeUhali gani
Nzuri sana rafiki vipi wewe huko ??
Sio mbaya aisee kwangu mie nywele nayobana ni ndefu tu aiseeNimezibana ushamba huu 😂😂View attachment 2640820
Mi niko poa ni mpambano tu 😔Nzuri sana rafiki vipi wewe huko ??
Tuma tena basi nionepo 😀😀😀Pole
Nitaziachia sikumoja napiga modo matata 😂😂naachia nywele nyie natafuta na miwani flan hiv nawazoom tu😂😂😂Sio mbaya aisee kwangu mie nywele nayobana ni
Wew unashangaa sana niliweka mbona nyingineTuma tena basi nionepo 😀
Hakuna namnaMi niko poa ni mpambano tu 😔
Achia mamaaNitaziachia sikumoja napiga modo matata 😂😂naachia nywele nyie natafuta na miwani flan hiv nawazoom tu😂😂😂
Sio fair bana wengine hatukuwa online 🤔Wew unashangaa sana niliweka mbona nyingine
Kweli ujue.Hakuna namna
siku zinaenda ndo tumefika nusu mwaka hivyo
Na anavojua kuichakataaa sasa,Daaah! Mpaka namuonea wivu G aiseeataichakataje





Ndiwoooooooo dear umejuajeeee??Aiseee pendaneni hivyo
love is a beautiful thing , sijui alikuwa wapi sikuzote kaja kusema mwaka wa mwisho .
sijawahi kuwa na mahusiano shuleni/chuo but nahisi raha kuwa na mtu ukiingia darasani unqmuona baby yule unasmile huyo unaenda kuketi .



mnakonyezanaa jichooo maisha yanasongaaa, kuna viji ugomvi vya kuchachua penzii bas burudaniiiii.Sasa unasukaa ya nn aunt akati unavaa hijab??Kilivhojiri Sasazitafunikwa had ziombe msamaha kunamtu kanishauri kesho nitembee hivhiv mjini
![]()



