cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,007
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho mchana nikienda kwake, kurudi hapa kwangu ni J3 jioni.Inabidi sasa ukamtunuku tunda [emoji3]
Naolewa kilazima. Woiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho mchana nikienda kwake, kurudi hapa kwangu ni J3 jioni.Inabidi sasa ukamtunuku tunda [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaenda kesho mchanaa dear.Nipo kipenzi , mambo yanaenda
hahahha pole kugombana kawaida kwenye penzi mnazidi kupendana aisee .
nenda ukadeke kwake sasa , huba limetaradi ..
😂😂Nileteee tonniaaa nilete tonniaaa
Nileteee tonniaaaaa.
Apo Apo dom mnapokulaga hakikisha unaninyikia Huyo mchuchu.
Daaah! Mpaka namuonea wivu G aisee 🤔 ataichakataje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho mchana nikienda kwake, kurudi hapa kwangu ni J3 jioni.
Naolewa kilazima. Woiiiiiiih
Aiseee pendaneni hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaenda kesho mchanaa dear.
Mie na G hatuachaniiii [emoji8][emoji8][emoji8]
Umependeza dear
Kilivhojiri Sasa 😀 zitafunikwa had ziombe msamaha kunamtu kanishauri kesho nitembee hivhiv mjini😂😂😂Umependeza dear
misuko ya kujiachia hiyo ..
Mbona siioni? Eti Aaliyyah kwa nini umeiondoa?Umependeza dear
misuko ya kujiachia hiyo ..
Yes dear ziachie hata mara moja ..Kilivhojiri Sasa 😀 zitafunikwa had ziombe msamaha kunamtu kanishauri kesho nitembee hivhiv mjini😂😂😂
😂😂😂Hii Tecno werevaAunt nunua simu 😂😂
Usiku mbona picha zinatoka tu.
Tutamuuza Kai tununue simu aunt
Infix zero 2
Saa saba na dk 31 usiku
View attachment 2640772
Nipo poa dadaakeUhali gani
Nzuri sana rafiki vipi wewe huko ??
Sio mbaya aisee kwangu mie nywele nayobana ni ndefu tu aiseeNimezibana ushamba huu 😂😂View attachment 2640820
Mi niko poa ni mpambano tu 😔Nzuri sana rafiki vipi wewe huko ??
Tuma tena basi nionepo 😀😀😀Pole
Nitaziachia sikumoja napiga modo matata 😂😂naachia nywele nyie natafuta na miwani flan hiv nawazoom tu😂😂😂Sio mbaya aisee kwangu mie nywele nayobana ni