Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20230531_091715_Music Player.jpg
Vita sitaki miye, sumu usinitilie, kiti usinikalie utanitoa roho.

Babe sepa usinirudie, ukipenda njoo turudie , Bila pesa nitunukie🎶

Nikubalie kuwa namimi usiwe na mwingine,

Nikubalie nami niwe nawewe nisiwe na mwingine 🎶
=====================

Kuna baadhi ya nyimbo zinatukumbusha miaka ile ya Tabora Jazz, UDA Jazz, Sikinde and likes miaka ile ya 72🤪

Hata nikikaa na Wajukuu zangu naweza kusikiliza pasipo kusikia hata tusi moja limeimbwa 🤗

Nikubalie Song by Kassim Mganga

Hello Wednesday 🥂
 
Yess dear km uwezo upoo unafanyaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda uwe serious sana na mie
hizi za come you hit and go hapana aisee 😂😂😂 .

heheeee uniache niwaze pesa , muda , na mawazo niloyokuwekea wahallah no
 
Labda uwe serious sana na mie
hizi za come you hit and go hapana aisee [emoji23][emoji23][emoji23] .

heheeee uniache niwaze pesa , muda , na mawazo niloyokuwekea wahallah no
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dear sikuwezii kwa kwelii.
 
Back
Top Bottom