Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo umeamua kuselfika kweli
Kuna watu walitaka kutuvurugia thread yenye lengo moja tu, picha.

IMG_20211125_142333_210.jpg
 
Mazoezi unakuwa both physically and mentally fit

Hata kwenye mgegedo auhitaji vumbi la Congo,uume inasimama sawasawa,damu inaflow vizuri,mapigo yanaenda vema

Pia ikiwa na mwonekano wa kimazoezi inakuongezea mvuto,skin tone inakuwa unavutia maana vinyweleo vinakuwa vimefunguka muda wote..huna haja na masaji ili kurekebisha ngozi.

Kikubwa kuliko vyote,mazoezi yanakufanya
Kuwa na mwonekano wa kijana muda wote(forever young km Jz),wengi nikiwaambia nakaribia 30 hawaamini,ndy maana financial services na Depal kila siku huniita mtoto
unaona hii form six ilivyonikaa? Fanya mazoezi Baba utakuja kunishukuru👇👇

View attachment 2032422
Kweli eeh😊😊.. Upo vizuri mkuu, mie sina shida ya kuvutia mtu mkuu labda hilo la physical maana mental kuna vyakula ukiwa unakula unakuwa powa sanaa
 
Back
Top Bottom