Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Ongeza mkuu.Ahaaa,Zangu?
Mbona humu zipo nyingi tu.
Hapana bhageshi siwezi kujikuta naendelea kuandika hivyo
Nilikuwa najaribu kumuchokoza dada yangu kipenzi mzuri Makiwendo ili nione anavyochukiaga
Kati ya watu ambao huwa nachukia na kukasirishwa na uandishi wa hivyo ni mimi bhageshi
Hahaha....Yoooo abhakima nabatogilwe no nkoi hasa abape


Mmmmmh!!!Umepatwa na nini hadi kubadili Id😂😂😂 itakua ulitembezewa ban eehNdio mimi mpenzi 😊😊
Anayo kumbe!
Nakusanya tu vipande.Aisee. Saint Anne upooooo???
Mhandsome huyo, hiyo smile👍
Unaniambia leo nimevurugwaa, mood haipo. Nasema basi nije nikuchukue tutoke upate upepo wa bahari...bwanawee nakapiga sop sop kagari alafu unapotea
View attachment 2032457
Ikabidi niwe mpole tu
Hapa Palichafukwa balaa Ila unashukuru mungu pametulia! Uwe na jumamosi tulivu!
Mhandsome huyo, hiyo smile👍
Mie mtu wa furaha na ucheshi kila mda ni sie na makuu na mtu, nitolee wapi ban.. labda itokee mod mmoja anichukie 😁😁😁Umepatwa na nini hadi kubadili Id😂😂😂 itakua ulitembezewa ban eeh
Ukiweka yako ulivyonenepa mpaka unashindwa kutembea , ndio ntakuja na yangu 🙂Nakusanya tu vipande.
Nasubiri za kwako sasa.
Wala usijali.Ongeza mkuu.
Ukiweka yako ulivyonenepa mpaka unashindwa kutembea , ndio ntakuja na yangu 🙂




Nasubiri.Wala usijali.
Basi weka tabasamu lako wewe usiokuwa mwizi tuone 🙂We kwa timu ile tabasamu kinatoka wapi , wezi huu; hapo waziri wa nishati anakuja baada ya December![]()
It's a joke man