Selfika na JF: Snap it. Show it

20211204_113900.jpg
 
Dah! Mie cha moto kinanitosha mkuu, umri ungekuwa haujaenda sana ningekuja asee nipashe pashe hiyo hata kwenye game unakuwa mkalii ee
Mazoezi unakuwa both physically and mentally fit

Hata kwenye mgegedo auhitaji vumbi la Congo,uume inasimama sawasawa,damu inaflow vizuri,mapigo yanaenda vema

Pia ikiwa na mwonekano wa kimazoezi inakuongezea mvuto,skin tone inakuwa unavutia maana vinyweleo vinakuwa vimefunguka muda wote..huna haja na masaji ili kurekebisha ngozi.

Kikubwa kuliko vyote,mazoezi yanakufanya
Kuwa na mwonekano wa kijana muda wote(forever young km Jz),wengi nikiwaambia nakaribia 30 hawaamini,ndy maana financial services na Depal kila siku huniita mtoto
unaona hii form six ilivyonikaa? Fanya mazoezi Baba utakuja kunishukuru👇👇

IMG_20211204_114452.jpg
 
View attachment 2032422
Kwendraa
Ukaribie 30?? Unaijua 30 wewe?

Told you ukiwa na mingi sanaaa ni 21.
 
Kwendraa
Ukaribie 30?? Unaijua 30 wewe?

Told you ukiwa na mingi sanaaa ni 21.
Miaka 21 Kwa maana ya kwamba nimezaliwa mwaka 2000😅..Sawa

Ila si picha Tu hata live ukiona nina mwonekano huo.Ila Kwa mtoto wa kiume rijali si busara kujisifia sifia km wa kike.. primary nilianza la Kwanza mwaka 2001 Kwa hiyo unaweza kunipimia miaka yangu D😁
 
Back
Top Bottom