NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
Sijaionaaaaa...
Hujaiona?
Niliweka.
Haya nitumie yako wii.
Sijaionaaaaa...
Hujaiona?
Niliweka.
Haya nitumie yako wii.
Wezi=mwezi masahihisho kidogoBasi weka tabasamu lako wewe usiokuwa mwizi tuone 🙂
Hivi humu kuna kitufe cha kufuta picha?Nasubiri.
Aha! sasa timu kama ile inakukoseshaje tabasamu?Wezi=mwezi masahihisho kidogo
Nimesahau na mahondwa na Y2k mwenye mzigo.Nimehesabu hazijafika hiyo 951...
Unatuchota eeh? Naamini.
Ndiyo mkuuHivi humu kuna kitufe cha kufuta picha?
Sawa,AsanteNdiyo mkuu
Mwee wiii zipo nyingi tu,ngoja nikutag.Sijaionaaaaa...
Eli79 uchebeNdio timberlake si ndio, ngoja tujaribu kila kitu!View attachment 2032526

Nshakaribia! Dancers wako wapi??🙄Karibu ngomaniView attachment 2032525
Umeanza..yani wewe ntakuchapa kwerikweriEli79 uchebe![]()
Wakati ukishaselfika unapunguza 😏View attachment 2032538
Half time tunaenda lunch...hiyo ni portion ya selfika tu. Nikishapiga naongeza msosi, siwezi kula portion kama ya Lizzy
I wanna see the food 🤓
Umeanza..yani wewe ntakuchapa kwerikweri

Ngoja niisevu kwanza then!Ndio timberlake si ndio, ngoja tujaribu kila kitu!View attachment 2032526
Zinachoma choma kihisia fulani hivi!!!Ndio timberlake si ndio, ngoja tujaribu kila kitu!View attachment 2032526
