Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah sema camera za iphone macho matatu ni konyo kwa kweli, yaani kitu crystal clear. Ningekuwa sikufahamu kama wewe ni fogo ningesema huyo siyo wewe umechukua picha ya mtu mwingine, si unatujua tena wabongo mtu akiwa hana analazimisha wote wawe hawana kama yeye.
😀😀😀😀😀 na hii ni 13 sijui 14 itakuwaje... mie fogo wapi mkuu wangu.. mie Kijana wa hovyo hovyo .. ushawai kuona fogo anashinda JF nipo hapo chuo cha ustawi wa jamii nakul shule
 
Aahh basi wewe hufai kabisa kuwa kaka yangu. Mimi sina kaka sisi kwetu wote tumezaliwa wa kike, hivyo wanaume wote wanaonitongoza huwa natamani waishie tu kuwa kaka/rafiki zangu, na hii ni kwa faida yao wenyewe maana mimi atakayekuwa mpenzi/mume wangu namuonea huruma sana.
Ni kweli, hujui miaka mitano mbeleni kuna vitu hunadirika kwenye maisha
 
F76EA317-07DF-47FF-A425-54D250583A60.jpeg
 
na hii ni 13 sijui 14 itakuwaje... mie fogo wapi mkuu wangu.. mie Kijana wa hovyo hovyo .. ushawai kuona fogo anashinda JF nipo hapo chuo cha ustawi wa jamii nakul shule
Naona kabisa nitaanza kushawishika kununua hivyo viapple vyenu wakati mimi ni team samsung kindakindaki

Aahh yawezekana unashinda humu kumbe una channels shazi za dinero ila umeweka watu wakufanyie kazi tu
 
Naona kabisa nitaanza kushawishika kununua Hivyo viapple vyenu wakati mimi ni team samsung kindakindaki

Aahh yawezekana unashinda humu kumbe una channels shazi za dinero ila umeweka watu wakufanyie kazi tu
aah! wapi mie ni jobless mpambanaji siku nikipata kibarua huwa napotea jf, michongo imekata tunashinda tu gheto mkuu.. noma tu kimbilio JF tunatoa stress
 
Back
Top Bottom