Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuliokuwa hatuelewi somo la Hisabati tukutane hapa
IMG-20211202-WA0079.jpg
 
Mdogo wangu hebu acha kunichekesha. Hebu usibishane bhana tuache tu huu mjadala yasije yakazuka mengine hapa.

Huyu Kijana wa hovyo hovyo wala asikupe taabu sie waarabu wa pemba twajuana kwa vilemba. Najua kabisa alishanielewa ila ananifanyia makusudi tu maana huyu akili zake zinamtosha mwenyewe.
mommah watu wamevurugwa, yaan wakiguswa kidg wanaweweseka na LGBT hata hapausiani lol.
 
Dooh basi itakuwa nami nilikuelewa vibaya. Niliuliza kama yuko kwa ile society nikimaanisha LGBT so ulivyosema yuko huko nikajua ni lesb ndiyo maana nikasema mie siko huko mimi ni kama tom boy fulani tu (kwa maana kwamba siwezi urembo wala kujiweka kisister du) lakini i am straight.
Wala hata cc angu Co lesbooh,
 
Yeah hata mie nilimaanisha hivyo sema labda itakuwa hakutukuelewana tu! Anyway its better tufunge tu huu mjadala mkuu tusije tukazua ugomvi mkubwa hapa maana ninavyojua hawa watu kuwatoa kwenye hiyo society ni vita kubwa itakayohusisha matusi na hata kupigana endapo mko karibu hivyo huwa naacha tu mtu aamini kile anachoamini!
mommah usinichekeshe mie, af mbna mie wala sipo ktk matus, na wala siwezi kupigana na mtu kisa jambo hili, ntapingana naye kwa hoja tyuuh, tukishindana ktk maelewano bas kila mtu anashika njia yake, straight ndo huwa wanatoa sana matus, kejeri, mihemko

Mwisho wa siku kila mtu anaishi ktk maisha yake binafsi.
 
Ni kweli matom boy hawako kwenye hiyo society, japo kuna watu wanaamini kuwa mtu ukiwa tu tom boy basi wewe ni lesbian kitu ambacho si kweli. Kuwa tom boy haihusiani na sexual orientation ya mtu, hiyo it's all about mwanamke kuwa na muonekano wa kiume na baadhi ya tabia za kiume lakini wapo matom boy ambao wanagegedwa kama kawaida tu.
Waambie hao na wanadhan kila Tom girl n gay, kumbe n hormonal imbalance. Ukute hata u gay wenyewe haujui .

Huwa nataman sana nianzishe mada niwape watu Elimu, tatzo modes watafuta uzi wangu au kunipa Ban,
 
Sure mkuu sema ni vile wabongo tushakariri ila kiuhalisia lesbian aweza kuwa yeyote yule (tom boy au sister du), nimekuja gundua kuwa appearance au lifestyle ya mtu haidetermine sexual orientation yake. So naweza nikasema siyo kila tom boy ni lesbian, na siyo kila sister du ni straight.

Na tangu nimegundua hilo nimeacha pia kujudge wanaume tunaodhani kuwa ni mashoga eti sababu tu wana muonekano wa kike, kumbe wengine ni marijali na wanachakata vizuri tu. Na nasikia siku hizi wanaume wanaoongoza kwa ushoga ni hawa wenye mamisuli, wanaonyanyua mavyuma kila siku.

Binafsi nimeshatongozwa na wanawake wenzangu ambao ni masister du kabisa yaani huwadhanii, huwa nashangaa sasa huyu anataka tukifika kitandani tukafanye nini yaani. Wakati huo huo nina marafiki zangu matomboy ila wanachakatwa vizuri tu, na hawataki hata kusikia kuhusu habari za usagaji.

Huu n mtori, nyama ziko chini.
DJ waleteeeeeeh
 
112 Reactions
Reply
Back
Top Bottom