Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Yaani huyu hata avae gunia anapendeza aiseeDada yangu naye katoka kusema hivyohivyo😂😂
Huyu Malkia ni kiboko huyu mama
Ana Damu ya nguo
Yaani huyu hata avae gunia anapendeza aiseeDada yangu naye katoka kusema hivyohivyo😂😂
Huyu Malkia ni kiboko huyu mama
Ana Damu ya nguo
Damu yake Kali😂😂😂😂Yaani huyu hata avae gunia anapendeza aisee
Sitaki dhambi 😀Damu yake Kali😂😂😂😂
Ila huyu shangazi anayeimba naye hana damu ya nguo kwa kweli
Kajikoroga na hilo wigiSitaki dhambi 😀
had wigi limekataa
😂😂😂😂😂😂😂Ulojaiiwa kisigino kipana km mkate wa boflo sea yallah 😂😂😂ila dida
Wenzetu sijui wanafanya kazi wapi😂😂Hii mishangazi humu ukumbini ni kama ina kiwanda cha hela aisee🙌
Hadi nahisi watakatisha pesa hawaWenzetu sijui wanafanya kazi wapi😂😂
Walivosimama Sasa hata kabla hajaingia😂😂Wimbo wa michepuko umefika 😂😂😂
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie😂😂😂😂
Nikampa mishkaki na chai ya tangawiziWalivosimama Sasa hata kabla hajaingia😂😂
Michepuko imesimama kwa kishindo kama awamu ya sita🤣🤣🤣🤣🎶Mbio mbio kanikimbilia
Akaniomba mapenz
Nami nami nikamridhia 🎶
Mjini hakuna mume wako
🔥🔥Hatari sanaMjini hakuna mume wako
Kuna mume wetu 😂😂😂😂😂😂
Ila kopa🙌
Mbona sijaelewa elewa ilivyoishia jamani🔥🔥Hatari sana
Wamekata muda umeisha ila ukumbin inaendeleaMbona sijaelewa elewa ilivyoishia jamani
Leo mpangilio wao haujawa poa😌
WamezinguaWamekata muda umeisha ila ukumbin inaendelea