Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 61,972
- 156,270
Kwema kabisa!!!Ooh!!Kumbe
Kwema lakini mpendwa
Kwema kabisa!!!Ooh!!Kumbe
Kwema lakini mpendwa
Samaki gani huyo mkuu?
Koh koh koh..nimepaliwa!!
Kuna mtu alikua anakojolea pazuri jamaniSelfika na jfView attachment 2027106
Vale vale sitaki mimi jamani!! 🤣🤣🤣 nawewe Selfika basi shooo!! Halafu nina ubuyu natamani nikuulize!!!Kuna mtu alikua anakojolea pazuri jamani
Wakati Depal anapost mambo matamu km haya ndugu yangu Mimi nilikuwa fofofo na hile mvua jumlisha night shift jumlisha hakuna hela mfukoni..Satoh Hirosh ndugu yangu 🥲🥲🥲🥲
Hahaha....Kuna mtu alikuwa anakojolea pazuri jamani mkojo upi huo?Kuna mtu alikua anakojolea pazuri jamani
Mie nshaselfika kitambo sanaVale vale sitaki mimi jamani!! nawewe Selfika basi shooo!! Halafu nina ubuyu natamani nikuulize!!!
Na Vale wako mimi sihusiki mjue!!🚶🚶🚶
Teh mkojo mdogo
We ndo muhusika mkuu unaachaje kuhusika sasaNa Vale wako mimi sihusiki mjue!!
Niulete hapa??? Jamani jamani si ni kesi hii!!!!😳Mie nshaselfika kitambo sana
Lete huo ubuyu
Haya twende kuleNiulete hapa??? Jamani jamani si ni kesi hii!!!!
Hapana sio muhusika mimi jamani jamani pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!We ndo muhusika mkuu unaachaje kuhusika sasa
Nakuja!! 🏃🏃Haya twende kule
Pepsi Baridi inayofuka MoshiJamaniHadi nimepata kiu ghafla.Achana na pombe mkuu, vinywaji viko kibao
Inamaana utamu wa Pepsi baridi huujui
Makiwendo njoo umpe ushuhuda huyu
Wanaokunywa Pepsi hawafahi kuheshimiwa G? Tutake radhi tafadhali...kaka unakunywa pepsi??.....nilikua nakuheshimu sana
🤣🤣🤣🤣🤣 wahi kwa mangi mwambie akupe pepsi tatu (3) za baridiiii alafu wahi kule kwa waziri mkuu leta namba ya wakala chap muamala usome