Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Kwema kabisa!!!Ooh!!Kumbe
Kwema lakini mpendwa
Kwema kabisa!!!Ooh!!Kumbe
Kwema lakini mpendwa
Samaki gani huyo mkuu?
Koh koh koh..nimepaliwa!![emoji41]
View attachment 2026106
Kuna mtu alikua anakojolea pazuri jamani [emoji39]Selfika na jfView attachment 2027106
Vale vale sitaki mimi jamani!! 🤣🤣🤣 nawewe Selfika basi shooo!! Halafu nina ubuyu natamani nikuulize!!!Kuna mtu alikua anakojolea pazuri jamani [emoji39]
Wakati Depal anapost mambo matamu km haya ndugu yangu Mimi nilikuwa fofofo na hile mvua jumlisha night shift jumlisha hakuna hela mfukoni..Satoh Hirosh ndugu yangu 🥲🥲🥲🥲
Hahaha....Kuna mtu alikuwa anakojolea pazuri jamani mkojo upi huo?Kuna mtu alikua anakojolea pazuri jamani [emoji39]
Mie nshaselfika kitambo sanaVale vale sitaki mimi jamani!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawewe Selfika basi shooo!! Halafu nina ubuyu natamani nikuulize!!!
Na Vale wako mimi sihusiki mjue!!🚶🚶🚶
Teh mkojo mdogo
We ndo muhusika mkuu unaachaje kuhusika sasa[emoji2]Na Vale wako mimi sihusiki mjue!![emoji124][emoji124][emoji124]
Niulete hapa??? Jamani jamani si ni kesi hii!!!!😳Mie nshaselfika kitambo sana
Lete huo ubuyu[emoji23]
Haya twende kule[emoji28]Niulete hapa??? Jamani jamani si ni kesi hii!!!![emoji15]
Hapana sio muhusika mimi jamani jamani pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!We ndo muhusika mkuu unaachaje kuhusika sasa[emoji2]
Nakuja!! 🏃🏃Haya twende kule[emoji28]
Pepsi Baridi inayofuka Moshi[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani[emoji114]Hadi nimepata kiu ghafla.Achana na pombe mkuu, vinywaji viko kibao
Inamaana utamu wa Pepsi baridi huujui
Makiwendo njoo umpe ushuhuda huyu
Wanaokunywa Pepsi hawafahi kuheshimiwa G? Tutake radhi tafadhali...kaka unakunywa pepsi??.....nilikua nakuheshimu sana[emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 wahi kwa mangi mwambie akupe pepsi tatu (3) za baridiiii alafu wahi kule kwa waziri mkuu leta namba ya wakala chap muamala usomePepsi Baridi inayofuka Moshi[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani[emoji114]Hadi nimepata kiu ghafla.
Sent using Jamii Forums mobile app