Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,371
Mimi nakataa kabisa..na niliuona huo Uzi wa bro Mshana JrKwenye story zenu huko si nilisikia ni Mshana Jr ?
Tayari mshabadili [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
kwenye ule Uzi Kuna sifa ya huyo Demis hao wanaomjua waliitaja nilicheka sn.. wanasema ana pua kubwa 'kweri kweri' kuliko ya Baba levo[emoji28]
Sasa hii sifa ya pua kubwa Tyr inakutenganisha wewe na yeye,wangesema Una dimpozi ya shavu moja ningekubali[emoji12]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app