Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahi kwa mangi mwambie akupe pepsi tatu (3) za baridiiii alafu wahi kule kwa waziri mkuu leta namba ya wakala chap muamala usome
Sawa Tajiri...Nachukua zile za chupa ya zamani[emoji28]

Chek kwa Waziri Fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Depal anapost mambo matamu km haya ndugu yangu Mimi nilikuwa fofofo na hile mvua jumlisha night shift jumlisha hakuna hela mfukoni..
Basi na ngiri nae na Ile ubaridi akasema ngoja nikunyooshe mbwa wewe[emoji1787]
Leo ndy nakutana na mambo matamu km haya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tuzisake hela ndugu yangu na sie tuwe watu 😀😀😀
 
Back
Top Bottom