Selfika na JF: Snap it. Show it

Koh koh koh..nimepaliwa!!

Ila sina jinsi naishia kutazama Tu jinsi wenye nguvu wanavyofaudu mema ya nchi
JamiiForums1651877326.jpg


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Satoh Hirosh ndugu yangu 🥲🥲🥲🥲
Wakati Depal anapost mambo matamu km haya ndugu yangu Mimi nilikuwa fofofo na hile mvua jumlisha night shift jumlisha hakuna hela mfukoni..
Basi na ngiri nae na Ile ubaridi akasema ngoja nikunyooshe mbwa wewe
Leo ndy nakutana na mambo matamu km haya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom