Nikupe kiberiti??
Mshana hivi hii kitu inafanania tango uwa inaitwaje?
Haina kiswahili? Naitumiaga tu pasipo kujua inaitwaje..
Zucchini (hilo la kijani) na squash (hayo ya njano) nayapenda sana kuyakaanga kwa mafuta kidogo tu ya mzeituni pamoja na biringanya. Ni veggies safi kabisa unakula unashibaNimeona google zucchini ni kichanga cha boga mtoto linalostawi wakati wa joto. � SHIMBA YA BUYENZE
inapatikan wapi sanaa?
Sokon ipo hii bidhaa? Nahitaji kujaribu kuitumia, nionje ladha yake.Haina kiswahili? Naitumiaga tu pasipo kujua inaitwaje..