Selfika na JF: Snap it. Show it

boda boda huyu mbinguni atapaskia tyuuh.
FB_IMG_16329960641329541.jpg
 
Nimeona google zucchini ni kichanga cha boga mtoto linalostawi wakati wa joto. � SHIMBA YA BUYENZE
Zucchini (hilo la kijani) na squash (hayo ya njano) nayapenda sana kuyakaanga kwa mafuta kidogo tu ya mzeituni pamoja na biringanya. Ni veggies safi kabisa unakula unashiba
20210930_141759.jpg


Kwa Kiswahili yanaitwa Zukini au ukitaka kile Kiswahili chenyewe kabisa orijino kutoka Unguja nadhani yanaitwa mang'unye. Na pamoja na matango, ni jamii moja ya maboga.

Screenshot_20210930-141954_Google.jpg
Familia%20ya%20vibuyu.jpg
 
112 Reactions
Reply
Back
Top Bottom