Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni tabia ya mtu tyuuh, ila kule boarding ndo inakua km sehem ya practice, na mtu wa kushiriki nae,
Hasa za jinsia 1, shuleni huwa ni tabu tupu,
MALEZI BORA HUANZIA NYUMBANI.
FB_IMG_16330042355122459.jpg
 
Ni tabia ya mtu tyuuh, ila kule boarding ndo inakua km sehem ya practice, na mtu wa kushiriki nae,
Hasa za jinsia 1, shuleni huwa ni tabu tupu,
MALEZI BORA HUANZIA NYUMBANI. View attachment 1958706
Hii ishu ni very serious now days.
Tunalea kisasa sana kiasi kwamba wajibu wetu muhimu kama wazazi tunaukwepa. Leo unakuta natoka asubuhi kwenda kazini narudi saa 4 usiku watoto wamelala, weekend ndio kabisa nashinda kwenye mishe nyingine za kutafuta chapaa.
Wazazi wenzangu,tujitahidi kutenga muda kwaajili ya kuwafundisha watoto namna ya kuhusiana na wengine wawapo mbali nasi,tusipo fanya sisi dunia itawafundisha.
Utafutaji pesa usitufanye tukawa wabinafsi na kusahau wajibu wetu muhimu.
 
Back
Top Bottom