View attachment 1959259
Baada ya kipindi kirefu kupita, hatimaye nimefumania mahali majani ya kunde. Walichonikosha ni mtindi kwa pembeni😋😋😋😋
Huu mchanganyiko Una shauriwa sana kwa sisi Wazee 😛🙈🤸🏽🏃🏻
Team nijoin mara ngapi Jamani[emoji38]Upo Mjini now Saint Anne make sure you join the team [emoji12][emoji12]
Ukipata Ubuyu huko Mjini Instagram make sure Una share nasi hapa ukiwa wamoto moto [emoji3][emoji3]
Tukutane samaki samaki 😊T.G.I.F [emoji482] ....kama upo Moro town tutafutane bdae[emoji123]
Cha Uturuki...
We've to test this Hornet 😁Flying fish[emoji482]View attachment 1959373
Kila siku cc lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji176]View attachment 1958962
Suala la malezi kuhusu jambo hili halina uzito sana, ila sikatai malezi yasitolewe, but kupambana na hili suala linahitaji uwezo na mbinu yenye ushawishi kwa kuzuia,Hii ishu ni very serious now days.
Tunalea kisasa sana kiasi kwamba wajibu wetu muhimu kama wazazi tunaukwepa. Leo unakuta natoka asubuhi kwenda kazini narudi saa 4 usiku watoto wamelala, weekend ndio kabisa nashinda kwenye mishe nyingine za kutafuta chapaa.
Wazazi wenzangu,tujitahidi kutenga muda kwaajili ya kuwafundisha watoto namna ya kuhusiana na wengine wawapo mbali nasi,tusipo fanya sisi dunia itawafundisha.
Utafutaji pesa usitufanye tukawa wabinafsi na kusahau wajibu wetu muhimu.
Namleta now usijar [emoji23][emoji23][emoji23]Mleteni kwangu
Teeena mie na umbea dam dam, heri nikose kula ila sio bundle khaaaah.Huyu dada ana mtoto tayari??
Hongera kwake jamani
Hii kapo yao nzuri hadi raha jamani[emoji7].
Dogo uwe unanipa umbea wa huko mjini Instagram..mimi nipo nyuma mno.
I'll join u guyz[emoji482]We've to test this Hornet [emoji16]
Kumbe unapajua eehTukutane samaki samaki [emoji4]