T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,179
- 28,335
linahbabyIla dunia ina watu jmn aaahView attachment 1667250
linahbabyIla dunia ina watu jmn aaahView attachment 1667250
Naam mkuu
Douta bwana, ukiwa kidume ndio utaelewa nini namaanisha.
Mamboz mkuuNaam mkuu
Pouwa tu za weweMamboz mkuu
Za mimi njema/salama kabisaPouwa tu za wewe
Nimekumiss piaZa mimi njema/salama kabisa
Nimekumisslavuzi mkuu
we bint uko wapi nikuletee St Anne yako nataka kwenda town ntapita nane nane
Mkuu hvyo vyote unakala peke yako?
mzee baba Safi Sana piga kazi
Hahahaha, mkuu mie niwe mkweli shule sikwenda ,kishandu tu wa mtaani ,kizungu tabuKuna couple zingine ukiziangalia unagundua tu hazijawahi kutumia kingereza kwenye mahusiano yao
Aiseee Nakufahamu
Njoo nikuachie plate mojaMkuu hvyo vyote unakala peke yako?
Mkuu nisha kula ugari na mrenda tyrNjoo nikuachie plate moja
Nipo nanenanewe bint uko wapi nikuletee St Anne yako nataka kwenda town ntapita nane nane
Nikiwaambia watu nimesomea ufundi cherehani wananicheka